Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, bungeni jijini Dodoma Juni 20, 2018.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Joseph Kakunda, bungeni
jijini Dodoma Juni 20, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mvomero, Suleiman
Saddiq, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 20, 2018.
No comments:
Post a Comment