Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume
(katikati) na Muweka Hazina wa Chama hicho, Ndg. Nicholaus Duhia walipomtembelea
leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza
na ugeni kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ulioongozwa na Rais wa Chama
hicho Wakili. Fatma Karume (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kulia)
akiwa katika picha ya pamoja ugeni kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)
walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Rais wa
Chama hicho Wakili. Fatma . Karume. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment