HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 30, 2018

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA KASULU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Pendo Lilola  kwa kujifungua salama  mtoto wa kiume katika  wodi ya wazazi kwenye Hospitali ya wilaya ya Kasulu Julai 29, 2018.  Mheshimiwa Majaliwa aliitembelea Hospitali hiyo  akiwa  katika ziara ya mkoa wa Kigoma Julai 30, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages