HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 19, 2018

NMB YATOA MSAADA WA MADAWATI-KISARAWE

Meneja Mahusiano Idara ya Biashara za Serikalini wa NMB, Sophia Nkane, akimkabidhi moja kati ya madawati 50 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo , yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya Shule ya Sekondari Masaki kwenye hafla iliyofanyika wiki iliyopita wilayani Kisarawe. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Annet Kwayu. Benki ya NMB ilikabidhi madawati 50 ya shilingi milioni tano kwa Shule ya Sekondari Masaki.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, akiwa na amekaa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Masaki ya mkoani Pwani baada ya kupokea madawati kutoka benki ya NMB kwaajili ya shule hiyo kwa shule hiyo. Wa kwanza kutoka kushoto ni maafisa wa benki ya NMB, Annet Kwayu na Sophia Nkane.

No comments:

Post a Comment

Pages