HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

August 18, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANZA NJIANI AKIELEKEA CHATO MKOANI GEITA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Njia panda ya Bugando mjini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Chato mkoani Geita.

 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuombea  Dada yake Monica Joseph Magufuli ambaye amelazwa katika Chumba cha uangalizi Maalum ICU katika hospitali ya Bugando mkoani Mwanza leo asubuhi tarehe 18/8/2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Sengerema mkoani Mwanza kuelekea Chato mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment

Pages