Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma,
Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa
Hanang, Dkt. Mary Nagu Bungeni jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa
Kumi na Mbili wa Bunge jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada
ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge jijini
Dodoma Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe kwenye viwanja vya
Bunge jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment