Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS Ndugu Daudi Mbaga akitoa mada jinsi uwekezaji wa pamoja unaweza kuwa suluhisho la maisha baada ya kustaafu kwa wastaafu watarajiwa kutoka Wizara ya Fedha wa mikoa mbali mbali katika ukumbi wa Wizara ya Fedha mkoani Morogoro.
Ofisa
Masikitiko na Uhusiano wa UTT AMIS, Ndg. Waziri Ramadhani akitoa elimu
kwa wastaafu watarajiwa kutoka taasisi mbali mbali katika semina iliyoandaliwa na TAGLA katika ukumbi wa JKT-Umwema, Morogoro.
Washiriki wa semina.
Ofisa Masikitiko na Uhusiano wa UTT AMIS Ndg. Waziri Ramadhani akitoa elimu kwa wastaafu watarajiwa kutoka taasisi mbali mbali katika semina iliyoandaliwa na TAGLA katika ukumbi wa JKT -Umwema, Morogoro.
Ofisa Masikitiko na Uhusiano wa UTT AMIS, Ndg. Waziri Ramadhani, akitoa elimu kwa wastaafu watarajiwa kutoka taasisi mbali mbali katika semina iliyoandaliwa na TAGLA katika ukumbi wa JKT-Umwema, Morogoro.
Washiriki wakiwa katika semina hiyo.
Washiriki wa semina hiyo.
Washiriki wa semina wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa.
No comments:
Post a Comment