Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa
Mkoa wa Mwanza, John Mongela (katikati)
na Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo kuelekea katika eneo
kilipozama Kivuko cha MV Nyerere katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe,
Septemba 21, 2018. Kivuko hicho kinatoa huduma kati ya Kisiwa cha Ukara ba JKisiwa cha Bugorola.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere kinachotoa huduma kati
ya kisiwa cha Ukara na Bugorola wilayani
Ukerewe wakati alipowasili kwenye kisiwa cha Ukara kujionea shughuli za uokoaji
Septemba 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment