Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri
katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama walioongozana na wakimbiza Mwenge
wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018. (Picha na Ikulu).

No comments:
Post a Comment