HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 21, 2018

BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA MHESHIMIWA JOB NDUGAI

 Balozi Mpya wa Norway nchini Tanzania, Mh. Elisabeth Jacobsen, amemtembelea Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai, Ofisini kwake Bungeni leo. Balozi huyo amempa Spika salamu mbalimbali kutoka
Serikali ya nchini kwake.

No comments:

Post a Comment

Pages