HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 20, 2018

MAHAFALI YA WANACHUO CHA UALIMU, KIDATO CHA NNE SEKONDARI AL HARAMAIN YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Wahitimu wa Ualimu wa Chuo na Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika gwaride la kuingia katika viwanja vya mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Ualimu wa Chuo na Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika gwaride la kuingia katika viwanja vya mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. 
Wahitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, wakiimba waimbo wa Taifa katika mahafali yao yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo hicho, mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. 
Wahitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, wakiimba wimbo wa Taifa katika mahafali yao yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo hicho, mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.   
Wahitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.  
Wahitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Zuhura Hajii (kushoto) na Halima Nassoro, wakisoma utenzi katika mahafali yao hayo.
Baadhi ya wanachuo cha Al Haramain, wa mwaka wa kwanza, wakiwa katika igizo lao la haki na wajibu katika kazi kwenye  mahafali hayo.
Wahitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, wakighani shairi liitwalo "Asante kwa hii kazi" wakati wa mahafali hayo. 
Mhitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Farhiya Mohammed, akisoma risala ya wahitimu wa kidato cha nne katika mahafali hayo. 
Mhitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, Mohammed Ally akisoma risala ya wahitimu wa ualimu katika mahafali hayo.
Mwanachuo, Abuu Kitimai akielezea kuhusu moja ya kitendea kazi walichobuni wanachuo kwa ajili ya kufundishia wanafunzi wasioona, katika mahafali hayo.
Mkuu wa Chuo na Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Suleiman Urassa akizungumza kabla ya akimkaribisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum, kumkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, ili azungumze na wahitimu hao.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum, akizungumza wakati akimkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, kuzungumza katika mahafali hayo.
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akizungumza katika mahafali hayo. 
Kikundi cha Dufu, kikitoa burudani katika mahafali hayo.
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Stashahada ya Elimu ya Msingi, Swaumu Abeid katika mahafali hayo. 
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Stashahada ya Elimu ya Msingi, Hamid Makame katika mahafali hayo.  
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Astashahada Elimu ya Awali, Batuli Msere katika mahafali hayo.  
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Astashahada Elimu ya Awali, Shukuru Muhusin katika mahafali hayo.  
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Stashahada Elimu ya Awali, Elizabeth Meliara katika mahafali hayo.  
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akimkabidhi cheti mhitimu wa Stashahada Elimu ya Awali, Nuru Juma katika mahafali hayo.  
Mhitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Aisha Khatib, akikabidhiwa cheti chake na Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba.
Msaidizi wa Mkuu wa Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Rashid Kassim akisoma majina ya wahitimu wa kidato cha nne kwa ajili ya kukabidhiwa vyeti vyao na mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba. 
Mhitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Afrah Ally, akikabidhiwa cheti chake na Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba. 
Mhitimu aliyefanya vizuri kuliko wote wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Justine Nestory, akikabidhiwa cheti pamoja na zawadi ya fedha na Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba. 
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dk. Aneth Komba, akifunga rasmi mahafali hayo. 
Meza Kuu wakisoma dua ya kumaliza mahafali hayo. 

No comments:

Post a Comment

Pages