Dk. Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Dk. Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Dk. Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay.
Dk. Kimei akiwasili katika Ukumbi wa Mlimani City.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akisalimiana na Dk. Kimei mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mlimani City.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akikumbatiana na Dk. Kimei mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Mlimani City.
Dk. Kimei akisalimiana na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB.
Dk. Kimei akisalimiana na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB.
Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.
Dk. Kimei akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB-Mbeya, Benson Mwakyusa.
Dk. Kimeia akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenz, Ally Laay. Kulia Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa na mke wake.
Dk.
Charles Kimei, akikata keki katika hafla maalum iliyoandaliwa kwa
ajili ya kumuaga rasmi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay na katikati ni Mama Rose Kimei.
Dk. Charles Kimei, akikata ndafu katika hafla maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kumuaga rasmi iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay na katikati ni Mama Rose Kimei.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akisaidiana na Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Dk. Charles Kimei, kukata ndafu katika hafla maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kumuaga rasmi Dk. Kimei iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Ally Laay na wa tatu kushoto ni mke wa Dk. Kimei mama Rose Kimei.
Dk. Kimeiakimlisha ndafu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia),
akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Dk. Charles Kimei
(wa tatu kushoto), zawadi ya picha akiwa na Marais wa Awamu mbalimbali
wa Tanzania na Burundi katika hafla maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya
kumuaga rasmi, iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa benki hiyo, Ally Laay na wa pili kulia ni mke wa Dk. Kimei mama Rose
Kimei (katikati).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia),
akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Dk. Charles Kimei
(wa pili kushoto), zawadi ya picha akiwa na Marais wa Awamu mbalimbali
wa Tanzania na Burundi. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa benki hiyo, Ally Laay na wa pili kulia ni mke wa Dk. Kimei mama Rose
Kimei (katikati).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia), akimkabidhi
Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Dk. Charles Kimei, moja kati
ya zawadi zilizotolewa na menejimenti pamoja na wafanyakazi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akifungua champagne.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akiwa ameshika ngao na mkuki.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi akitoa akiitambulisha kamati yake.
No comments:
Post a Comment