HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 10, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR ES SALAAM YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Godbertha Kinyondo, akitoa mafunzo ya ujasiriamali, masoko na utunzaji wa mahesabu kwa wanawake zaidi ya sitini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika chuoni hapo Machi 8, 2019.



 Dk. Omary Swalehe, Dk. Godbertha Kinyond, wakipokea zawadi iliyotolewa na wajasiriamali kwa ajili ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.


NA MWANDISHI WETU

CHUO Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam imeungana wa wanawake Dunia kuanzimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa mafunzo ya Ujasiriamali, Masoko na Utunzaji wa Mahesabu kwa Wanawake Wajasiriamali zaidi ya sitini (60) kutoka vikundi vya Vibindo na Wanaje. 

Wakufunzi katika mafunzo hayo walikuwa Dk. Omary Swalehe, Dk. Godbertha Kinyondo na Dk. Janeth Swai, pia walikuwepo wajasiliamali ambao walitoa ushuhuda wao kama wajasiliamari Bi. Faith na Bi Candid.

 Wajasiliamali hao walikizawadia Chuo zawadi ya picha ya bendera ya Taifa.

No comments:

Post a Comment

Pages