Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias
Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu
maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Mizani
kinachojengwa Dakawa Mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilipokagua mzani huo.
Wa nne kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Suleiman Kakoso.
Mafundi wa Kampuni ya Group Six International
wakiendelea na ufungaji wa Kamera katika mzani mpya unaojengwa eneo la Dakawa mkoani
Morogoro.
Muonekano wa jengo la mzani mpya
unaojengwa Dakawa Mkoani Morogoro. Mradi huo umekamilika kwa asilimia 98.
Mhandisi Mshauri Kasmir Mustapha
(kushoto), akitoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu
maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Mizani
kinachojengwa Dakawa Mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilipokagua mzani huo. Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano
No comments:
Post a Comment