Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu Ruge Mutahaba
alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa marehemu ambaye
aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment
kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
salaam leo Jumamosi March 2, 2019. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa ndugu na familia ya Marehemu
Ruge Mutahaba alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa
marehemu aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds
Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na viongozi wengine alipoongoza maelfu ya waombolezaji kuuaga mwili wa
marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds
Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019.
Sehemu ya waombolezaji waliofika kuuaga mwili
wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa
Clouds Entertainment kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama
Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Ruge Mutahaba
kwenye hafla ya kuuaga mwili wa marehemu ambaye aliyekuwa Mkurugenzi wa
Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Entertainment katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumamosi March 2, 2019.
No comments:
Post a Comment