Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipakwa
majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini
Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo
Machi 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate
wa Sakramenti Takatifu kutoka kwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano
ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019.
Sehemu ya waumini katika Kanisa Kuu la
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam wakiwa katika Ibada
ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana
na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiaga waumini wenzie katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi
6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana
na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiagana na Padri Joseph Matumaini nje ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi
6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika
Ibada ya Jumatano ya Majivu katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam leo Machi 6, 2019
PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment