Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Augustine Mahiga akila Kiapo cha Uadilifu kwa
Viongozi wa Umma na Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba
Kabudi pamoja na Makamishna watano kutoka Jeshi la Polisi, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro akimvalisha cheo kipya cha Kamishna Liberatus Sabas
ambaye ameteuliwa kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Operesheni na Mafunzo ya
Jeshi la Polisi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
(IGP) Simon Sirro akimuapisha Kamishna Liberatus Sabas ambaye ameteuliwa kuwa
Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Picha namba 20. Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro akimvalisha cheo kipya cha Kamishna Leonard Paul
Lwabuzala ambaye ameteuliwa kuwa kamishna wa kamisheni ya polisi Fedha na
Lojistiki, Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment