Benchi la ufundi la timu ya Simba kabla ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Simba imeshinda 3-0. (Na Mpiga Picha Wetu).
Kikosi cha Mtibwa Sugar.
Kikosi cha Simba.
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco (kushoto), akimtoka beki wa Mtibwa
Sugar, Cassian Ponela,katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa
Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo.
John Bocco akiambaa na mpira.
No comments:
Post a Comment