HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 17, 2019

WAZIRI MKUU AFUNGUA RASMI SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB

*Autaka uongozi wa benki ya CRDB uzidi kuzingatia misingi ya utawala bora

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa Benki ya CRDB uzidikuzingatia misingi ya utawala borana kuongeza juhudi katika utoaji wa huduma ili benki hiyo iendeleekuwa mfano wa mafanikio kwa taasisi zinazomilikiwa nakuendeshwa na wazalendo.

Ameyasema hayo Mei 17, 2019 wakati akifungua semina ya wanahisa wa benki ya CRDB katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha. Semina hiyo inahudhuriwa na wanahisa 1,500.

Amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imeendelea kuimarisha misingi ya utawala bora ili kuleta matokeochanya, hivyo ni vema kwa uongozi wa benki hiyo ukaizingatia. 

“Serikali imeendelea kuhakikisha kwamba katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali kunakuwepo na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu, usawa, kuzingatia taratibu za kisheria, kanuni na miongozo inayotolewa na Viongozi wakuu wa kitaifa.” 

Waziri Mkuu amesema Serikali imeendelea kusisitiza misingi hiyo ya utawala bora ili kujiridhisha kuwa taasisi mbalimbali zikiwemo za kifedha zinaongozwa kwa kufuata misingi hiyo. 

“Serikali imeendelea kusisitiza uwazi katikakuendesha shughuli za umma na makampuni yanayomilikiwa nawananchi bila usiri na kificho. Lengo ni kuwapa wananchi uwezo wakupima utendaji na uzingatiaji wa kanuni, taratibu na sheria.”

Waziri Mkuu amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote wanahusishwa katika kupanga nakufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu ili kuwawezesha kujiletea maendeleo. 

“Nyote ni mashahidi kuwa Serikali imeendelea kuhimiza utendaji unaozalisha matokeo  yanayokidhi lengo na matarajio ya watu na kuhakikisha taasisi za kifedha zinatimiza ndoto za wananchi katika kupata huduma nzuri ikiwemo upatikanaji wa mikopo na elimu ya matumizi bora ya fedha.”

Hivyo, Waziri Mkuu amesema ni vema benki hiyo kupitia kitengo chake cha elimu ihakikishe inatoa elimu kwa umma juu ya matumizi mazuri ya fedha zikiwemo za mikopo ili wananchi waweze kuitumia vizuri na kujiongezea tija.

Awali, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Abdulmajid Msekela alisema zaidi ya asilimia 80 ya hisa za benki hiyo zinamilikiwa na Watanzania ikiwemo Serikali, hivyo uongozi wa benki hiyo una jukumu kubwa la kuhakikisha wanatoa huduma bora.

Alisema wamejipanga kuboresha huduma zao ili wanahisa waweze kujivunia uwekezaji wao walioufanya kwenye benki hiyo. “Tupo tayari kuhakikisha benki ya CRDB inasonga mbele zaidi ikiwa ni pamoja na kuboresha huduma kwa wateja.”

Mkurugenzi huyo alisema kuwa mbali na kuboresha huduma kwa wateja, pia wataongeza ufanisi katika utoaji wa huduma na hatimaye waweze kutoa gawio kubwa kwa wanahisa wao. Benki ya CRDB inaongoza kwa kupata faida kubwa.

Kwa upande wake, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kicheere ambaye alimuwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango katika semina hiyo, alitumia fursa hiyo kuwashauri wananchi wajenge tabia ya kuwekeza kwenye hisa. Alisema mwamko wa  Watanzania katika kuwekeza kwenye hisa bado ni mdogo.
 Katika hatua nyingine Waziri Mkuu Majaliwa, amesema kuwa serikali kupitia Benki Kuu ipo kwenye hatua za mwisho kumaliza mfumo wa udhibiti wa DOLLAR na kukabidhi leseni kwa wafanyabiashara maalum kuendelea na ubadilishaji na uuzaji wa fedha hizo kupitia maduka ya kubadilishia fedha za kigeni.


Majaliwa ameyasema hayo leo wakati akifungua semina ya 24 ya Wanahisa wa Benki ya CRDB jijini Arusha amesema benki ya CRDB inatakiwa uwajibikaji usawa na utawala bora vikitumika vyema kila mwanahisa atapata faida na benki itaweza kujiendesha kwa faida na gawio kwa kila mwanahisa litaongezeka .

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema kuwa hiyo imejipanga kuhakikisha wanahisa wanaongeza wigo wa gawio na kuendesha biashara kwa faida na kutoa elimu kwa wanahisa ikiwa ikiwa ni malengo ya benki hiyo kuboresha huduma

Aidha Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, amesema kuwa benki imejipanga kutoa elimu ya uwekezaji ili kila mtanzania aweze kujua soko la hisa na faida zake kwani imeonyesha kuna uchache wa watanzania wanaochangamkia fursa za kununua hisa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo kwa ajili ya kufungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB. (Na Mpiga Picha Wetu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC jijini Arusha leo.Mwakilishi wa balozi wa Denmark akisalimiana na Waziri Mkuu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, akiongozana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Meza Kuu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akitoa neno la utangalizi wakati wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Ally Laay, akizungumza katika semina ya wanahisa wa benki hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akimkaribisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kicheere.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kicheere, akisoma hotuba ya Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango ambaye alimwakilisha katika semina ya wanahisa wa Benki ya CRDB.
Baadhi ya Wakurugenzi na Mameneja wa Benki ya CRDB.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wanahisa wa Benki ya CRDB.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiponhgezwa na Mwenyekiti wa Bodi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Beni ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, baada ya kutoa hotuba yake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akiwa na viongozi wa meza kuu.
Picha ya pamoja.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (katikati) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kicheere.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu.
Wakurugenzi wakiwa katika picha ya pamoja.
Viongozi wastaafu wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu.

Wanahisa.
Mwanahisa akiuliza swali.
Balozi Mwanaidi Maajar akitoa mada kuhusu Utawala Boara katika semina ya wanahisa wa Benki ya CRDB.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, akifuatilia mada katika semina ya wanahisa wa CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akiwa katika mkutano huo.
Wanahisa wakipita taarifa za Mkutano Mkuu wa 24 Wanahisa wa Benki ya CRDB.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akizungumza katika Semina ya Wanahisa..
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.

Dk. Blandina Kilama kutoka REPOA akitoa mada kuhusu fursa katika sera ya taifa ya viwanda wakati wa semina kwa wanahisa wa Benki ya CRDB jijini Arusha.

Wanahisa.
Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhani (kulia), akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye (katikati) akifurahia jambo na Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhan na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

10 comments:

  1. Sometimes there are several goods that contain certain toxic components for examploe chemical toxins ass well as the
    clients are uncertain the best way too eliminate
    exactly tthe same following your end off their life.

    The premium plan noow offers subscription to sstart upp and
    advanced training e-courses and market research reports which give an insight
    into picking one of thee most profitable products forr selling online.
    Excellent products lose its worth if there are faults within the delivery system.

    ReplyDelete
  2. It is essential that when you bid for new projects
    you develop bids that produce a beneficial timeline for both
    parties, plus a hughly competitive price that can attract attention, while still supplying you with an amazing profit.
    Modern day technology has providd industries have real prorit create safer
    work environments. Othewr types of standardized communication pocesses mmay include echoing the original request or cinfirming thee
    request using a formal response.

    ReplyDelete
  3. It's been discovered that compared to machine made quilts, Handmade Quiots are much more normal,
    elegant, resilient, and appealing. The Chalet cuckoo
    clock has get the most welcoming cllocks in the western world.
    While the email address paryiculars are involved, thee projects can be good,
    novice-level ability builders.

    ReplyDelete
  4. This kind of an art iis sadly something which it is possible to simply be
    born with. It should be friendly and try to indicate how thankful you might be for that clients' participation. In that also the complete
    team must work together and provide the top so they
    really gett the top results.

    ReplyDelete
  5. It is essential that once you bid for new projects you develop bids that produce
    a beneficial timeline foor both parties, togeter with a highly
    competitive price which will attract attention, while still giving you a considerable
    profit. It is easioer tto search for the Spanish
    OSHA study course prograks online. Maintenance of a physiucal office may be expensive
    and daily overhead expenses may possibly be a lot of veersus the daily revenue
    from the firm.

    ReplyDelete
  6. The brokerage paid, butt there is no actual guarantgee this can are employed in your
    case. Venture Capital firms tend to be not as likely
    to purchasse startup companies onn the seed capital stage.
    Jewelleries may also be easy for purchase these are mostly for current usse
    by people themselves.

    ReplyDelete
  7. Well, the control over the product quality wouod profit the organization maintain it for many
    years, which could benefit them in the longer run.
    All time an unclean oven or refrigerator, tv or on thhe couch to ret around the substance of particles re-entrained in to the air they breathe, sajd Strve Slepcevic,
    Paramount Disaster Recovery Inc. If wee want our outer condition to achieve success we have to start by changing our
    inner condition, our mind.

    ReplyDelete
  8. It is essential that when you bid for first time projects you
    develop bides that make the perfect timeline forr
    both parties, alpng with a highly compettive price
    that will attract attention, whiloe still giving you an important profit.
    All yor orders are processed online within hours and you wiull
    get the shipment at your workplace within hours.

    However, aall of the types happen to be sorted as discussed in hazmat courses as they all
    are hazardous products to take care of.

    ReplyDelete
  9. Do not worry a lott of in regards to tthe costs since the savings you shall make
    will be a lot moore than you shall spend. This is also the reason that clearing and forwarding agents
    are actualoly getting huge orders in mass coming from a various
    presmed organizations. In legal terms, asset recovery refers for the tasks of recovbery of
    assets that haave been stolen, fraudulrntly misappropriated orr removed from their rightful owner.

    ReplyDelete
  10. If every person thinks in several direction,
    then surely that team is not going too succeed and neither the project will almost certainly succeed on, which
    they aree working. When we speak about thee team
    development activities that bring the larger quality of training, trust
    mangers, and on time project work execution, help develop a good staff inside
    organization. Sihce the success of the company depends upon the capacity and performance with the personnel,
    it is important to structure proper and effective events.

    ReplyDelete

Pages