Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Kigoma Vijijini,
Peter Serukamba wakati aliopowasili kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma
kuzungumza na Viongozi wa CCM kutoka wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma
Vijijini, Juni 14, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Kasulu Mjini,
Daniel Nsanzugwako. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma
Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa
wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye
ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na
Kigoma Vijijini kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.
Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba.
No comments:
Post a Comment