August 02, 2019

SEKONDARI CHIEF DODO WASHINDI WA JUMLA TUZO ZA WANASAYANSI CHIPUKIZI TANZANIA 2019

 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akiwakabidhi kikombe washindi wa jumla wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chief Dodo, Editha Philipo (katikati) na Nasra Mpochi Dar es Salaam kwenye hafla ya kuwazawadia Wanasayansi Chipukizi Tanzania kwa mwaka 2019 katika Ukumbi wa Kimatatifa wa Julius Nyerere.
Mwanafunzi Editha Philipo, akizungumza baada ya kupokea tuzo.
Baadhi ya wanafunzi wakionesha mfumo wa kidigitali wa kupandisha maji katika tenki wakati wa Maonesho ya Kazi za Wanasayansi Chipukizi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akisaini kitabu cha wageni.

No comments:

Post a Comment

Pages