HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

August 06, 2019

WAKUFUNZI DUCE WAPIGWA MSASA WA HAKI MILIKI UBUNIFU

Naibu Ras Taaluma-DUCE, Dk. Julius Mbuna, akizungumza katika wakati wa Mafunzo ya Haki Miliki Ubunifu na Mafunzo ya Utafiti kwa wakufunzi wa DUCE jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa uelewa wa sheria na kuongeza mapato binafsi, Chuo na Taifa. Kulia ni Dk. Theodora Mwenegoha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). (Picha na Francis Dande).
Dk. Theodora Mwenegoha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akitoa mafunzo ya Haki za Umiliki wa Mali na Mafunzo ya Utafiti kwa wakufunzi wa DUCE jijini Dar es Salaam juzi, yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa uelewa wa sheria na kuongeza mapato binafsi.

Washiriki wa mafunzo hayo.
 Dk. George Shemdoe akifuatilia mafunzo hayo.
Dk. Theodora Mwenegoha kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akitoa mafunzo ya Haki za Umiliki wa Mali na Mafunzo ya Utafiti kwa wakufunzi wa DUCE jijini Dar es Salaam juzi, yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo wa uelewa wa sheria na kuongeza mapato binafsi. (Picja na Francis Dande).

Washiriki wa mafunzo hayo.
Dk. George Shemdoe, akitoa mafunzo kuhusu majukumu ya uongozi wa chuo  kwenye kuhawihisha na kubiashara teknolojia.
Mathew Ngaga akitoa mafunzo juu ya Sheria ya Chapa na Biashara na huduma kwa Tanzania Bara.
Mathew Ngaga akitoa mafunzo juu ya Sheria ya Chapa na Biashara na Huduma.

No comments:

Post a Comment

Pages