HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 04, 2019

STARS YALAZIMISHA SARE YA 1-1 NA BURUNDI

 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Simon Msuva, akiwa chini huku mwamuzi wa mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022 zitakazofanyika Qatar.  (Picha na TFF).
 Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Saimon Msuva, akimiliki mpira huku akizongwa na wachezaji wa Burundi katika mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2022 uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Prince Rwegasore mjini Bunjumbura, Burundi.  (Picha na TFF).

No comments:

Post a Comment

Pages