Na Mwandishi Wetu
BAADA ya kupata uongozi mpya Kampuni ya SimbaNET nchini imejipanga kwa dhamiria ya kutoa suluhisho ya ubunifu kwa kupunguza gharama zake kwa wateja pamoja na kuhakikisha wanawafikia wateja wengi zaidi.
Kauli hiyo imetolewa jana kwa vyombo vya habari baada ya kumtangaza rasmi, Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Wananchi Group kupitia Kampuni hiyo, Sanctus Mtsimbe huku Kennedy Ojungouya ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo na Mkurugenzi Mkuu kwa masoko wamasuala ya mawasiliano wa Mwananchi Group,
Ilisema kampuni hiyo inatoahuduma tofauti tofauti katika nchi nyingi barani Afrika ambapo miongoni mwa nchi zilizokuwa zinafanya kazi na kampuni hiyo ni pamoja Kenya, Uganda, Tanzania, Malawi, na Zambia.
Aidha katika taarifa hiyo ilisema Mtsimbe amepitia katika uongozi mbalimbali ikiwemo Ofisa Mwandamizi wa SimbaNet Afrika Mashariki pia tayari aliwahi kuwa na nafasi ya Meneja Mkuu wa Teknolojia ya Mawasiliano ya Airsys (Uingereza) na Meneja Mauzo wa Mkoa kwa Mawasiliano ya Danimex ya nchini Denmark.
Ojungouya ana uzoefu mkubwa katika tasnia ya Mawasiliano baada ya kufanya kazi katika uwezo wa juu wa mashirika anuwai ya kimataifa.
Aidha Kikundi cha Wananchi hutoa ufanya biashara mbalimbali ikiwemo mawasiliano ya makazi, mtandao na huduma za burudani na huduma za mawasiliano ya biashara

No comments:
Post a Comment