HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 29, 2020

CRDB YATOA MILIONI 30 KUSAIDIA MAPAMBANO YA VIRUSI VYA CORONA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kulia), akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 30 kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Dk. Joseph Witts, ikiwa ni mchango wa benki hiyo kusaidia jitihada za Serikali katika mapambano dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Zanzibar. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages