HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 22, 2020

BENKI YA TPB YACHANGIA MILIONI 25 JENGO LA ZAHANATI SAME


Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosmery Senyamule (katikati), akikata utepe wakati wa uzinduzi wa  jengo la wagonjwa wa nje katika Zahanati ya Kijiji cha Mtii wilayani same mkoani Kilimanjaro. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi. Benki hiyo imechangia Sh. Milioni 25. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosmery Senyamule (kushoto), akipokea sehemu ya msaada wa vitakasa mikono vyenye thamani ya Sh. Milioni 3 kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia), wakati wa uzinduzi wa jengo la wagonjwa wa nje katika Zahanati ya Kijiji cha Mtii wilayani Same mkoani Kilimanjaro. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages