Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa
Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei
03, 2020.
Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) akila
kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani
Chato Mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
hati ya kiapo ya Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato
Mkoani Geita.
Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) akisaini
hati ya kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli mara baada ya kuapa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato mkoani Geita.
Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) akizunguma
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kuapishwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla
iliyofanyika Wilayani Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kumuapisha Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato mkoani Geita.
Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba
Magharibi) mara
baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika
Wilayani Chato Mkoani Geita, Mei 03, 2020.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment