July 17, 2020

KAMISHNA WA JESHI LA POLISI CP LIBERATUS SABAS AMEFANYA ZIARA UKAGUZI WA UTAYARI KWA ASKARI MKOANI IRINGA KWAAJILI YA KUKABILIANA NA UHALIFU MKOANI HUMO

 Mapema leo Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, amewasili mkoani Iringa kwaajili ya ukaguzi wa utayari wa Askari mkoani humo katika hichi kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani. (PICHA NA JESHI LA POLISI).
 Mwenyekiti wa Karate Mkoa wa Iringa Hamidu akiwa katika mazoezi ya utayari na WP Yasinta wakimuonyesha Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, ambaye hayupo pichani wakati alipowasili katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia mkoani humo.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, aliesimama akiongea, Maafisa na Wakaguzi pamoja na Askari wa Mkoa wa Iringa baada ya kuwasili katika ukumbi wa Polisi Mess wa mkoani humo.

No comments:

Post a Comment

Pages