July 08, 2020

KATIBU MKUU WA CCM, DK. BASHIRU ALLY APOKEA GARI MAALUM LA KAMPENI JIJINI DODOMA LEO

Gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi ikiingia katika Ukumbi Jakaya Kikwete baada ya kulipokea na Katibu Mkuu CCM, Dk. Bahiru Ally, Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma. (Picha na CCM).
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akiwasha gari maalum ambalo litatumiwa na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu baada ya kulipokea Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo. Kushoto ni dereva Hassan Omar. (Picha na CCM).
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally, akikagua gari maalum litakalotumika na kikundi cha Tanzania One Theatre (TOT)  wakati wa kampeni za uchaguzi baada ya kulipokea Makao Mkuu ya CCM jijini Dodoma jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk. Abdulla Juma Mabodi. (Picha na CCM). 

No comments:

Post a Comment

Pages