July 22, 2020

SAASHISHA AANZA SAFARI YA "KUMNG'OA" MBOWE JIMBO LA HAI

    
Masanduku maalumu kwa ajili ya uwekaji wa kura yakiwa yameandalia kwa ajili ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Hai kumhagua kada atakaye peperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu unatarajia kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Msimamaizi wa Uchaguzi katika jimbo la Hai Kataba Sukuru akizungumza wakati wa zoezi la utangazaji wa matokeo katika uchaguzi huo .
Mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya na Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ni miongoni mwa wajumbe walioshiriki katika kufanya uamuzi wa kumpata kada atakaye peperusha bendera ya Chama hicho.
Baadhi ya Wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Hai wakiwa katika maandalizi ya zoezi la upigaji kura.
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiwa amebeba karatasi ya kura tayari kwenda kumchagua kada atakaye peperusha bendera katia jimbo la Hai.
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akipiga kura yake.
Lengai Ole Sabaya akitumbukiza kura yake katika sanduku la kura.
Wajumbe wakiwa katika foleni ya kwenda kupiga kura.
Baadhi ya wagombea wakingojea maamuzi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Hai wa nani atawavusha katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 mwaka huu .

No comments:

Post a Comment

Pages