July 14, 2020

WAZIRI HASUNGA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VWAWA KUPITIA TIKETI YA CCM

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020. Anayemkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Nbozi Ndg Julius Mbwiga. (Picha na Mathias Canal)
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akisalimiana na wanachama wa CCM waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbozi kuchukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020. 
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akisalimia na kada wa CCM Ndg John Kihwele mara baada ya kuwasili katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbozi kuchukua Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 14, 2020.

No comments:

Post a Comment

Pages