Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Magula Sitalike Mkoani Katavi alipokuwa
njiani akielekea Mkoani Rukwa kwa ajili ya kuanza ziara ya kampeni za Chama cha
Mapinduzi CCM katika Mkoa huo leo Octoba 09, 2020.
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment