Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Zanzibar katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa CCM uliofanyika katika uwanja wa Mnazi mmoja kisiwani Zanzibar leo tarehe 03 Oktoba 2020.
Wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika viwanja vya Mnazi mmoja Kisiwani Zanzibar leo tarehe 03 Oktoba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, mgombea Urais wa Zanzibar Husein Ali Hassan Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Kampeni za CCM katika viwanja wa Mnazi mmoja leo tarehe 03 Oktoba 2020.
No comments:
Post a Comment