Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza lililofungwa na winga wa timu hiyo Carlo Sterio dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo.
Kiungo wa Yanga Feisal Salum, akiwatoka wachezaji wa Coastal
union,katika mchezo wa Ligi
Kuu ya Tanzania Bara mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam leo.


No comments:
Post a Comment