HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 31, 2021

PICHA TOFAUTI ZA KESI YA MBOWE MAHAKAMANI


 Mwenyeki wa Chadema, Freeman Mbowe, akiteta jambo na wakili wake Peter Kibatala, katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikilizwa kwa kesi aliyofungua dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Mashitaka na IGP kupinga kukamatwa kwake.
Mwenyeki wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.


Mwenyeki wa Chadema, Freeman Mbowe, akitoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi aliyofungua dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Mashitaka na IGP kupinga kukamatwa kwake.



No comments:

Post a Comment

Pages