PROBABILITY ACTION... What a game, mechi dume, mechi yenye hadhi ya nyota tano ndani ya Estadio De Benjamin Mkapa 'LUPASO' Nyasi zime enjoy burudani hakika.
Yanga wanaibuka na ushindi sio kwa ndumba wala Uchawi boli limepigwa bana.
Mwanzo nilisema mbinu pekee haziwezi kuziamua dakika 90 pekee bali Probability actions ndani ya Uwanja kwa wachezaji ndio. Na ndivyo mambo yalivyokuwa.
Profesa Nabi ndani ya Akili yake mara zote anaamua kuheshimu mpinzani kwa kuja na mbinu namba moja ya kuhakikisha hapatwi na madhara.
Alianza na Mfumo ya 4:5:1 ukamlipa Yanga ilipokuwa ikishambulia inakuwa na watu sita na ilipokuwa ikishambulia inakuwa na watu 9 katika mistari mitatu wawili wa kipress watatu wako scan mchezo na watatu waki clear mipira iliyokuwa ikondondoka KUTOKA kwa Mugalu.
Pili ni profesa Nabi alikuja na mbinu ya kuficha macho ya Rally Bwalya kilalipokuwepo Bwalya alizungukwa na mtu tatu kumnyima uoni wa kuiendesha timu kuwa na hatari katikati mwa Uwanja.
Tatu finishing ya Mayeleeeee ilikuwa superb sana, ukifanya makosa unaadhibiwa, ndicho kilichotokea.
Simba walikuwa bora sana kuanzia katikati mwa Uwanja kwenda mbele lakini wanakosa sharpness ya ku retreat kuziba njia za mipira hasa kwenye mapana ya Uwanja.
Simba bado wanatimu bora sana naamini watakuja kivingine msimu huu. Gomes bado ana darasa pana la kujifunza zaidi jinsi gani kuifanya timu ilunguze makosa na iweze kutumia nafasi.
Kama Mugalu angekuwa katika siku yake basi tungezungumza lugha ya tofauti muda huu lakini ndio footbali.
Probability actions kwa Yanga iko vizuri sana kwa Yanga wanapokutana na Simba wana ustaa mwingi wakikutana na Yanga waliokuja kucheza derby.
Simba wanatakiwa kupandisha soksi zao kuitetea beji ya Simba msimu ujao. Wanatakiwa kupandisha morali yao na Mwalimu Gomes afanye home work vizuri coz anaweza asifike January.
Ushindi wa Yanga sio kwamba wako bora sana la hasha profesa Nabi ana kazi kubwa ya kufanya kwenye Uwanja wa Mazoezi.
No comments:
Post a Comment