September 24, 2021

DCPC, SJMC WASHIRIKI MAFUNZO


Baadhi ya Wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) na wanafunzi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (SJMC), wameshiriki mafunzo ya kujitambua  na kusimamia malengo yako yaliyotolewa na Mwandishi Mwandamizi Joyce Shebe kwenye ofisi za klabu hiyo zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. 

 Mafunzo hayo ni matokeo ya mafunzo yaliyotolewa katika Jiji la Nairobi nchini Kenya Aprili,2021 na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation For Freedom  kwa wanahabari wanawake kutoka Kenya na Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages