September 24, 2021

SIMBA SC NA AFRICARIERS WASAINI MKATABA WA UDHAMINI WA MIAKA MINNE

 Klabu ya soka ya Simba SC imeingia mkataba wa miaka minne wa udhamini wa usafiri wa ardhini na kampuni ya Africariers Limited utakaoiwezesha klabu hiyo kupewa mabasi matatu ya kusafirisha timu za wakubwa, wanawake na vijana.


Pia kampuni hiyo ya Africariers inakuwa mdhamini mkuu wa timu ya vijana ya Simba SC ya chini ya miaka 17.

No comments:

Post a Comment

Pages