RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini wa Mpango Mkuu
na kufanya utafiti na upembuzi yakinifu kwa ajili ya ujenzi wa Bandari mpya ya
Malindi, kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar amesaini Katibu Mkuu
Wizara ya Ujenzi Mawasiliani na Uchukuzi Zanzibar Bw. Amour Hamil Bakari na kwa
Mamlaka ya Uwekezaji ya Oman Sheikh. Nasser Al Harthy, hafla hiyo imefanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi
akishuhudia utiaji wa saini kwa ajili ya ujenzi wa bandari mpya ya Malindi
ambayo itakuwa ya kitalii pamoja na mji wa kisasa katika eneo la Bwawani Mjini
Zanzibar.akisaini kulia)Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar. Nahaat
Mahfoudh na (kushoto) Bw.Mohamed Al Taooq alisaini kwa niaba ya Mamlaka ya
Uwekezaji ya Oman.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment