HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 24, 2022

Wiki ya Sheria jijini Dodoma

 


Kaimu Meneja wa Kitengo cha Ufilisi na Udhamini wakala wa Usajili ,Ufilisi na Udhamini (RITA) Regnald Makoko, akizungumza na waandishi wa habari katika banda la wakala hao lililopo katika wiki ya sheria nchini inayofanyika jijini Dodoma, ambapo watatoa huduma za usajli a vyeti vya kuzalia msaada wa akisheria kuhusu mirathi na wosia.Picha na Deus Mhagale.
 
 
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa TPA Stanslaus Kagisa, wakizungumza jana na waandishi wa habari katika banda la mamlaka hiyo lililopo katika wiki ya Kisheria inayofanyika jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.

Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, akiwasili na kusalimiana na viongozi katika viwanja vya Mahakama Kuu jijini Dodoma, kwa aajili ya kuanza Mateembezi ya ufunguzi wa wiki ya huduma za  sheria nchini iliyoanza jana. Picha na Deus Mhagale.

 
Rais wa Zanzibar,Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza na Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson kaba ya kuanza matembezi yaliyoishia viwanaja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Picha na Deus Mhagale.
Rais wa Zanzibar,Dkt. Hussein Mwinyi na mkewe wakiwa katika matembezi.

Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kumbukumbu na Nyaraka Mahakama Kuu ya Tanzania, Malimo Thomas Manyambula, wakati akitembelea mabanda yaliyopo katika maadhimisho ya wiki ya sheria nchini.
 
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma, akizungumza katika maadhimishoa hayo.
 
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, akihutubia katika iki hiyo iliyoanza jana.

.

No comments:

Post a Comment

Pages