HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 26, 2022

MKUU WA WILAYA IGUNGA AFUNGUA MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU, TABORA

 

Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo (kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, akiongozana na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto) walipokuwa wakitembelea mabanda kwenye hafla ya uzinduzi wa Jumala Elimu iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo (kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, akiwa na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto) walipokuwa wakitembelea mabanda ya washiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Jumala Elimu iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo (kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, pamoja na wageni waalikwa meza kuu wakitembelea banda la TEN/MET kwenye hafla ya uzinduzi wa Jumala Elimu iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, akiongozana na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto) pamoja na meza kuu wakitembelea banda la Uwezo Tanzania kwenye hafla ya uzinduzi wa Jumala Elimu iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Wanafunzi vijana kikundi cha skauti wakiingia kwa maandamano kikakamavu katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayoendelea Wilaya ya Igunga.

Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai Wilaya ya Igunda wakiwa kwenye maandamano katika Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai Wilaya ya Igunda wakiwa kwenye maandamano katika Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai Wilaya ya Igunda wakiwa kwenye maandamano katika Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Blass Band ya Wanafunzi ikiongoza maandamano katika Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai wilayani Igunda wakiwa kwenye maandamano kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Baadhi ya Wanafunzi wakiwa na mabango ya jumbe mbalimbali kutoka shule za msingi na sekondari anuai wilayani Igunda wakiwa kwenye maandamano kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai wilayani Igunda wakiwa kwenye maandamano kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.


Baadhi ya wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai Wilaya ya Igunda wakiwa kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari anuai Wilaya ya Igunda wakiwa kwenye maandamano katika Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Meneja Mradi wa Maktaba Mtandao Room to Read, Bw. Ezgard Fungo (kushoto) ambaye ni mwanachama wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) akitoa maelezo kwa baadhi ya viongozi waalikwa waliotembelea banda hilo kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Meneja wa Mradi wa Maktaba na Usomaji, Bi. Prisca Mdee akisoma vitabu na baadhi ya wanafunzi waliotembelea banda hilo kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Baadhi ya Wananchi na wadau wa elimu wakitembelea banda la HakiElimu mwanachama wa TEN/MET kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Wanafunzi wakionesha kwa vitendo utengenezaji wa taulo za kike kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Meneja wa Mradi wa Maktaba na Usomaji, Bi. Prisca Mdee kutoka Room to Read asasi mwanachama wa  TEN/MET akigawa vitabu kwa wanafunzi kuchochea utamaduni wa kujisomea kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Baadhi ya wanachama wa  TEN/MET wakitoa maelezo kwa Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kwenye Maadhimisho hayo ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.

Mgeni Rasmi, kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo (wa pili kulia) aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tabora, na Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (wa tatu kulia) na viongozi meza kuu wakipokea maandamano kwenye hafla ya uzinduzi wa Jumala Elimu iliyofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge wilayani Igunga.

Sehemu ya wadau wa elimu Benki ya NMB wakishiriki kwenye Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge, Igunga.





No comments:

Post a Comment

Pages