July 14, 2022

Erik ten Hag: Ronaldo ang'oki ng'o

 

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag ameweka wazi kuhusu stori zinazomuhusu mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo (37), kutaka kuondoka klabuni hapo.


Erik ten Hag alisema kuwa “Nilizungumza na Cristiano Ronaldo kabla hii ishu haijazuka.


Aliongezea "nilikuwa na mazungumzo naye mazuri. Hakuniambia kwamba anataka kuondoka. Tunataka mafanikio pamoja.” alisema.



No comments:

Post a Comment

Pages