Kikosi cha Timu ya Taifa chini ya miaka 20 kimeshindwa kutamba mbele ya vijana wa Ethiopia baà da ya kulazimishwa sere ya mabao (2-2). mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON U 20).
Ulikuwa mchezo wa pili hatua ya makundi katika kundi B baada ya mchezo wa kwanza kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Uganda Kwa mabao mawili kwa bila.
Tañzania ilianza mchezo huo kwa kasi wikihitaji kuapata matokeo chanya ya kujiwekea katika mazingira mazuri kwenye kundi lao.
Ilikuwa kama piga ni kupige kwa Tañzania kufunga huku Ethiopia wanachoa.
Kwa matokeo hayo Tanzania imejiweka katika nyakati ngumu za kupata tiketi ya kuuwakilisha ukanda wa Afrika Mashariki na Kati katika fainali za Afcon nchini Morocco.


No comments:
Post a Comment