Mkurugenzi wa Andrew’s Nursery and
Primary School, Anna Mwambije, akizungumza wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo
Kikuu jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa
na kauli mbiu “Zuia ukatili na
unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”Afisa Michezo Mkoa wa Dar es
Salaam, Adorph Halii, akitoa hotuba yake wakati
wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo
Kikuu jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa
na kauli mbiu “Zuia ukatili na
unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Tamasha hilo liliandaliwa na Andrew’s Nursery and
Primary School. Afisa Michezo Mkoa wa Dar es
Salaam, Adorph Halii, akimkabidhi kombe mwanafunzi wa Andrew’s Nursery and
Primary School, Given Godfrey, baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa soka wakati
wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja vya Chuo
Kikuu jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku likiwa
na kauli mbiu “Zuia ukatili na
unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Kulia ni Meneja Biashara Benki ya
CRDB Tawi la Tabata, Godwin Mhina.
Afisa Michezo Mkoa wa Dar es
Salaam, Adorph Halii, akimkabidhi kombe mwanafunzi wa Andrew’s Nursery and
Primary School, Marry Kazonda, baada ya kuibuka washindi katika mchezo wa Soka ya
Wanawake wakati wa tamasha la “Sports Gala 2023” lililofanyika katika viwanja
vya Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki huku
likiwa na kauli mbiu “Zuia ukatili na
unyanyasaji kwa watoto, endeleza vipaji”. Wa pili kulia ni Mjumbe wa Bodi ya
shule, Nangi Mwambije.
Mmoja wa wazazi kivishwa medali baada ya kushinda mbio za kukimbia na gunia.Mgeni rasmi akitoa zawadi.
Watoto wakishindana kujaza maji kwenye chupa.
No comments:
Post a Comment