HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 24, 2024

RAIS DK. SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA UTALII WA KASA KATIKA PANGO LA SALAAM KIZIMKAZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam lililopo Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam lililopo Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia uzuri wa pango pamoja na Kasa ambao wamekuwa kivutio cha watalii mara baada ya uzinduzi wa Utalii huo katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wananchi waliojumuika kwenye halfa ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.

Baadhi ya Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti

No comments:

Post a Comment

Pages