HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 24, 2025

Zambia yasherehekea miaka 61 ya Uhuru

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (kulia) akigonganisha glasi na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Mhe. Matthews Jerea wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Jamhuri ya Zambia, zilizofanyika jijini Dar es Salaam Desemba 19. 2025.







No comments:

Post a Comment

Pages