Na Christopher Siwingwa
WATANZANIA wameombwa kwenda kwenye chama cha wasambazaji wa vifaa vya madini ( TAMISA)
kujifunza jinsi ya kuwekeza katika sekta ya Madini.
Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa TAMISA, Japhet Mussa, wakati wa ufunguzi wa maenesho ya vifaa na bidhaa za kuchatia madini uliofanyika jijini Dar es salaam.
Amewaasa Watanzania wasistuke kuona wawekazani kutoka nje ya nchi ndio wenye bidhaa hizo, Bali iwe changamoto na chachu kujifunza kutoka kwao.
Bwana Japhet amesema wawekezaji wadogo ambao mitaji yao ni midogo, waungane na wawekezaji wa nje ili kukuza sekta ya Madini na kujifunza jinsi kuwekeza.
Pia amesema Wana ekari zaidi ya 127 mkoani GEITA ambazo wageni na wazawa wanakaribishwa kuwekeza katika sekta ya Madini kwa kukuza kipato na ukuaji wa uchumi wa nchi
Amedai sekta ya vifaa vya bajeti ya kuagiza kutoka nje ni zaidi ya shilingi Trillion 5.3 ambapo zingezalishwa nchini zingeweza kumnufaisha mzawa mmoja na kuongeza Pato la Taifa.
October 29, 2026
Home
Unlabelled
WATANZANIA WAITWA TAMISA KUJIFUNZA
WATANZANIA WAITWA TAMISA KUJIFUNZA
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.





No comments:
Post a Comment