HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

April 05, 2013

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI AFIKISHWA KIZIMBANI LEO

 Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiongozwa na Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kusikiliza kesi inayomkabili. (Picha zote na Haroub Hussein)
 Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Minara Miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.

Mawakili wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri , Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) wakili Abdalla Juma (kulia) na Rajab Abdalla wakipitia majalada kabla ya kutajwa kwa kesi ya mteja wao katika mahakama Kuu Vuga mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Pages