HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2024

UTT AMIS yaazimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani


Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya UTT AMIS wakiwa katika picha ya kumbukumbu kabla ya kuelekea katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika jijini Arusha.


Wafanyakazi wa Kampuni ya UTT AMIS, wakipita kwa maandamano mbele ya Jukwaa Kuu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakai Duniani yaliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.









No comments:

Post a Comment

Pages