HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 12, 2013

TIMU YA POLISI YAAGWA, BENDERA YAO IKIGEUZWA

Naibu Kamishina wa Polisi, (DCP) Thobias Andengenye (kushoto) akimpa mkono nahodha wa timu ya Polisi, Salmin Mohamedi wakati wa hafla ya kuwaaga wachezaji wanaokwenda kwenye mashindano ya Polisi kwa nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hafla hiyo ilifanyika Chuo cha Maofisa wa Polisi, Barabara ya Kilwa Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
 Wachezaji wa timu ya Polisi. 
 Maofisi wa Jeshi la Polisi wakiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wao.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages